Habari
Video: Wabunge wa kambi ya upinzani wakitolewa nje na askari wa bunge leo
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo aliwaamuru askari wa bunge kumtoa nje kiongozi wa kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe na wenzie, baada ya baadhi ya wabunge wa kambi hiyo kugoma kuendelea kwa mjadala wa marekebisho ya Katiba Mpya. Tazama ilivyokuwa.