Burudani
Utampenda: Jinsi Shaa alivyong’arisha jukwaa la Coke Studio Afrika (Picha)
Sarah Kaisi aka Shaa si mgeni kwenye vipindi vinavyodhaminiwa na Coca-Cola. Akiwa na Witness na marehemu Langa, aliunda kundi la Wakilisha lililopatikana kwenye shindano la Pop Stars wa Afrika Mashariki. Na hivi karibuni akiwa na Jackie Chandiru (Blue 3), Shaa ameshiriki kwenye kipindi cha Coke Studio Africa. Hizi ni baadhi ya picha.