Habari
Jaji mstaafu, Lewis Makame afariki dunia
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Lewis Makame amefariki dunia katika Hospitali ya AMI Trauma Center, Masaki Dar alikokuwa amelazwa tangu Julai, 2014 (mwezi uliopita).
Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Lewis Makame aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya AMI