Habari

Adam Kanyama (rapper mtanzania aishiye Sweden) asaini deal na label ya EMI Music

Rapper wa Tanzania/Sweden mwenye umri mdogo, Adam Kanyama amesaini mkataba wa kazi za muziki na label kubwa duniani ya EMI Music tawi la Sweden.

adam 2
Adam akisaini mkataba

Akiwa chini ya labek hiyo, July 3 mwaka huu Adam ataachia single yake ya kwanza For Real iliyotayarishwa na Jens “Chords” Resch.

AdamKanyamaEMI553x359-460x298
Adam akiwa na timu ya EMI

“Najisikia furaha kubwa kwa sasa kufanya kazi na Adam,” alisema Magnus Källeskog, ambaye ni program manager wa A & R na EMI Music / Parlophone.

adam 3

“Baada ya muda mrefu hatimaye nimesaini na EMI. Uhusiano wetu unajengwa na uaminifu na ndio maana nadhani tutakuwa na mafanikio,” alisema Adam.

Licha ya umri mdogo, Adam Kanyama ana uwezo wa hali ya juu kwenye hip hip. Tazama video hii ya wimboo alioshrikishwa na Adam Tensta, uitwao Young Black & Famous. Amerap verse ya pili.

EMI Group Ltd., also known as EMI Music or simply EMI, was a British multinational music recording and publishing company headquartered in London, United Kingdom. At the time of its break-up in 2012 it was the fourth-largest business group and family of record labels in the recording industry and was one of the big four record companies (now the “big three”). Its record labels included EMI Records, Parlophone and Capitol Records. EMI Group also had a major publishing arm, EMI Music Publishing – also based in London with offices globally.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents