BurudaniHabari

Afrika Kusini ndio wana idadi kubwa za ya Grammy Afrika, hawa ndio washindi

Mpaka sasa taifa la Africa Kusini ndio lenye tuzo nyingi za Grammy wakiwa na tuzo 14 kwa muda wote, ndio taifa lenye tuzo nyingi zaidi Afrika za Grammy.

Wafuatao ni wasanii waliofanikiwa kushinda tuzo hizo.

  1. Ladysmith Black Mambazo ameshinda tuzo 5 za Grammys.
  2. Soweto Gospel Choir wameshinda tuzo 3 za Grammys
  3. Wouter Kellerman ameshinda tuz  2 zaGrammys.
  4. Tyla ameshinda tuzo 1 ya Grammy.
  5. Black Coffee ameshinda tuzo 1 ya Grammy.
  6. Miriam Makeba ameshinda tuzo 1 ya  Grammy.
  7. Nomcebo Zikode na Zakes Bantwini kwa pamoja wameshinda tuzo 1 ya Grammy.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents