Habari

Ajali ya gari Mafinga, yaua watu 18

Watu 18 wamefariki dunia papo hapo baada ya basi dogo aina ya Costa kugongana uso kwa uso na lori la mizigo karibu na eneo la Changarawe, Mafinga mkoani Iringa.

 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, ACP, Allan Bukumbi amethibitisha kutokea vifo hivyo akisema kuwa taarifa ziaidi zitatolewa baadaye.

“Ni kweli ajali imetokea na inasadikika watu zaidi 10 wamepoteza maisha papo hapo,” amesema. #Bongo5Updates

Chanzo cha habari. Mwananchi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents