Burudani

Akaunti za Youtube za Diamond, Rayvanny na Mbosso zadukuliwa

Baada ya akaunti ya Youtube ya Diamond Platnumz kudukuliwa siku kadhaa nyuma na baadae kuondolewa kabisa katika mtandao wa Youtube siku ya jana na baada ya masaa kadhaa kurudishwa tena. leo akaunti za wasanii watatu wa WCB Diamond, Rayvanny na Mbosso zimedukuliwa.

Bado sababu haijaelezwa ni nini shida haswa lakini Bongo five tunaendelea kulifuatilia suala hili.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents