Michezo
Al Ahly lazima tumtoe – Ahmed Ally
Alichoandika Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, @ahmed__ally kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema “Mara ya mwisho Al Ahly kuishia Robo Fainali ni 2018/2019 ambapo mechi ya mzunguko wa kwanza Ahly alifungwa 5-0 na Mamelod Mechi ya marudiano Ahly akashinda 1-0 Hoja yangu hapa ni kuwa mechi yetu na Al Ahly tunapaswa kumaliza kazi hapa nyumbani yaaani inaishiaa hapa“. Simba SC Vs Al Ahly ni Machi 29-31.