Burudani

Alichofanya Linex ndani ya masaa saba baada ya kupata mtoto

Jana msanii wa Bongo Fleva, Linex aliwaeleza mashabiki wake kuwa amepata mtoto wa kiume.

Mungu wangu Wa Ibrahim Mungu Wa Jacob Mungu Wa Watu wote wamuaminie Amenipa Jina Jipya kutoka Kwenye Sunday Jina nililopewa Na Mama angu Mpendwa mpaka kwenye Jina Jipya BABA ? NASHUKURU MUNGU KWA KUNIPA MTOTO WA KIUME LEO MIDA HII ?nashindwa kujieleza OK nisiongee Sana MPENI JINA MTOTO WENU #ThankyouNeema❤

Baada ya ujumbe huo aliouweka instagram, masaa saba kupita Linex alimfungulia mwanae akauti ya instagram ambayo hadi sasa ina watu 105 na picha moja kama inavyooneka hapa chini.

Wasanii wengi wa Bongo Fleva na Bongo Movie wamekuwa wakiwafungulia watoto wao akauti katika mtandao huo. Wasanii hao ni kama Roma, Rayvanny, Ben Pol, Diamond Platinumz, Mabeste, Alikiba, Aunt Ezekiel, Ray Kigosi na wengineo.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents