Burudani
Alikiba aeleza kilichomsukuma kwenda kuoa Mombasa (Video)
Hit maker wa Aje, Alikiba amefunga ndoa na mchumba wake Amina Khalef, leo asubuhi, Aprili 19, mjini Mombasa nchini Kenya.
https://youtu.be/0bSbpid5z4g
Akiongea na Azam TV muda mfupi baada ya kufanga ndoa, Alikiba alisema ” Macho hayana pazia, moyo pia hauna macho, mimi nimenusa mpaka huku, moyo unapendaga wenyewe,,”
Pia muimbaji huyo wamewashauri wasanii wengine kuoa pale wanaona wapo tayari kwani hakuna muda maalum wa mtu kuoa.