BurudaniHabari

Alikiba amjiu Nyanda Msukuma, amuahidi hiki

Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya @kingsmusicrecords @officialalikiba kupitia mtandao wa X zamani kama Twitter ameamua kujibu kauli ya mchekeshaji kutoka Geita @nyandakabundi_

@nyandakabundi_ wakati anafanya mahojiano na @el_mando_tz alisema kuwa @officialalikiba ni msanii anayesikilizwa sana kwao Geita na anatamani kukutana naye.

@officialalikiba ame-Re-Tweet post ya Bongo5 ikinukuu kauli ya @nyandakabundi_ Twitter na kusema kuwa ataenda GEITA.

Sikiliza Interview yake hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents