BurudaniHabari

Alikiba anapendwa sana Geita, natamani kukutana naye – Nyanda

Siku ya leo @el_mando_tz amekuletea mahojiano yake na kijana anaye-trend mitandaoni anayejulikana kwa jina na @nyandakabundi_ Wameongea mambo mengi sana ikiwemo maisha yake ya zamani kabla ya kujulikana na maisha ya sasa.

Mbali na hilo wamezungumza kuhusu maisha ya @nyandakabundi_ ambapo ana umri wa miaka 23.

Ameongeza kuwa Umri wake huo lakini tayari ana mke na watoto wawili.Mchekeshaji huyo wa Mitandaoni @nyandakabundi_ akipiga stori na @el_mando_tz ameeleza kuipanda ngoma ya @officialalikiba ya MAHABA mpaka kuifanyia REMIX.

Mbali na hilo ameeleza moja ya wasanii wa kike anaowapenda ni @officialnandy na anasikilizwa sana Kijijini kwao.

@nyandakabundi_ ni mchekeshaji aliyetoka Geita hivyo baada ya kufika Dar Es Salaam amegoma kula Pweza na pia ameshindwa kunywa maji ya Dafu.

Wakiongea na @el_mando_tz wamezungimza mengi ikiwemp yeye kusajiliwa @basata.tanzania kama mchekeshaji rasmi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents