Burudani

Mkasa mzima uliomtokea Mlinzi wa Drake

Mlinzi (Security Guard) wa nyumba ya msanii Drake amejeruhiwa na kukimbizwa Hospitali baada ya shambulio la risasi lililoripotiwa kutokea nje ya Nyumba ya Rapa huyo mapema leo mjini Toronto Canada.

Polisi wa Toronto walifanya uchunguzi juu ya tukio hilo ambalo limebainika kweli majeruhi huyo ni Mlinzi wa Drake inadaiwa wakati wa tukio hilo linatokea Drake hakuwepo nyumbani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents