Burudani

RECAP: Nyimbo bora za muda wote Bongo Harmonize, Darassa & Mavokali watisha (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ametaja orodha ya nyimbo zilizofanya vizuri zaidi duniani (Hits songs) kubwa zaidi kutoka Tanzania.

Ameongeza kuwa kuna nyimbo nyingi sana zimefanya vizuri hapa Tanzania lakini kuna nyimbo ambazo zimefika level ya Kimataifa pia zimefika kwenye soko kubwa la muziki Afrika na duniani.

Katika orodha ya nyimbo ambazo yeye ameona zimewahi kufanya vizuri kutoka katika ardhi ya Tanzania ni:-

1. Tetema ya Rayvanny
2. Comando (Mapopo) ya Mavokali
3. Muziki ya Darassa.
4. Shuu ya Diamond
5. Single Again ya Harmonize.

Mbali na hilo @el_mando_t pia ameitaja ngoma mpya ya Diamond Comasava na kusema wimbo huo licha ya kuwa una siku mbili tu lakini cha kushangaza umefika sehemu kubwa zaidi ya dunia kutokana na lugha zikizowekwa pale.

Ameongeza kuwa nyimbo hizo 6 ni baadhi tu alizotaja na ametoa nafasi kwako kutaja nyimbo zingine tano ambazo unahisi zime-hit kufikia level ya soko la muziki wa Kimataifa.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

https://youtu.be/sWEl-0K1klA?si=Wycvdvf76J6gwxEF

Host: @el_mando_tz
Cameraman & Editor: @samirkakaa

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents