Habari

Ally Hapi aendelea na ziara yake ya siku 3

Katibu Mkuu  Jumuiya ya wazazi CCM Taifa mhe Ally Hapi ameendelea na ziara yake ya siku tatu mkoani Dodoma akitokea mkoani Iringa ambapo ziara hiyo imeanza katika kata ya Mlowa barabarani jimbo la Mvumi halmashauri ya wilaya ya Chamwino na kupokelewa na viongozi wa chama na serikali.

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents