Burudani

Amini awatoa wasiwasi mashabiki wake juu ya ukimya wake

Amini amewaondoa wasiwasi mashabiki wake kuhusu ukimya wake na kudai kuwa mpaka sasa ana nyimbo tano tayari kwaajili ya mashabiki wake.

amini

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo ya EA Radio kuwa alikuwa kimya ili ahakikishe ana nyimbo zake tano mkononi.

“Nilitaka niwe na nyimbo zangu tano mkononi ndio nianze kuachia nyimbo,” amesema. “Kwa sababu nataka kuandaa vitu vizuri ambavyo vikitoka vitafanya vizuri kwa sababu naweza kuchelewa na nikatoa nyimbo na ikafanya vizuri tu. Sina haraka kwa sababu ninachokifanya mimi nakiamini kwa sababu nimewaandikia wasanii wengi nyimbo na zinafanya vizuri,” aisema Amini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents