Michezo

Araujo kutimkia Man United

Barcelona wanaripoti kufungua milango kwa klabu zinazotaka huduma ya mchezaji wake Ronald Araujo, huku taarifa zikisema mashetani wekundu wameshafanya jambo.

Taarifa zinadodosa kuwa Manchester United tayari wameshaweka OFA kubwa mezani kwa ajili ya beki huyo Raia wa Hispania.

Araujo amecheza mechi 36 akiwa na Wakatalunya hao msimu huu.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents