Burudani

Basata Alikiba,Zuchu,Diamond wanazingatia usajili watoa siku saba

Katika mazungumzo na Bongo5 tv Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa BASATA @Kmapana amesema “ni muhimu wasanii na wadau mbalimbali wawe wanafanya kazi za sanaa ramsi yaani kurasimishwa ambapo katika tafiti inaonyesha zaidi ya wasanii na wadau wa sanaa zaidi ya 1000 wanaendelea kufanya kazi zao bila kuwa na vibali halali”

Mbali na hilo Mapana amewataka wasanii wote na wadau wa sanaa ambao hawajarasimishwa wafike ofisi za basata kwa ajili ya usajili huku akiwapongeza Alikiba,Zuchu na Diamond kwamba ni miongoni mwa wasanii wakubwa wanaozingatia kanuni na sheria za usajili

Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5

Written and edited @abbrah255 and @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents