Habari

Uzinduzi wa kampeni ya afya “holela holela itakukosti”

Serikiali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kutoa elimu kusuhu udhibiti wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa UVIDA na magonjwa ya zuonotiki.

Magonjwa hayo ni yale ambayo yanaweza kuambukizwa kutoka kwa wnyama kwenda kwa binadamu.

Akizukuzumza katika uzinduzi wa kampeninya ‘Holela holela itakukosti’ iliyozinduliwa jijini Dar es Salaam Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel amesema kampeni hiyo inaonyesha uhusiano kati ya afya binadamu, wanyama na mazingira.

“Kampeni ya Holehole.itakukosti inamaana ya uzembe utagharimu ambayo inaonyesha uhusiano muhimu kati ya afya ya binadamu, wanyama na mazingira na kuweza kushughulikia matatizo mbalimbali ya kijamii.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents