BurudaniHabari

RECAP: Harmonize ataweka rekodi kwa kutoa album nyingi, album ya tano

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia album mpya ya Harmonize aliyoipa jina la MUZIKI WA SAMIA. @el_mando_tz anasema Harmonize ametumia Akili kubwa ya biashara kuipa Album yake jina la Rais wa Nchi Mama Samia.

Anaongeza kuwa mpaka hapo Album ya Harmonize imefanikiwa kupitia jina tu, kila mtu anataka kujua Harmonize ameimba nini kwenye album yake mpya?? Je amemsifia Rais au kaimba nini??

Anaongeza kuwa ni Akili kubwa sana ambayo wengi hawakutegemea kama ataipa album yake jina kama hilo, MUZIKI WA SAMIA itasikilizwa na kila mtu mpaka wapinzani wake kutaka kujua ameimba nini.

Mpaka hapo kwenye kutengeneza Attention Harmonize amefanikiwa bado Promo ya album baada ya kuitoa hiyo tarehe 25.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents