Burudani
AY kesho kutangaza kipindi cha The Countdown cha Choice FM
Kama wewe ni shabiki wa Ambwene kesho hupaswi kukosa kumsikiliza akitangaza kipindi cha The Countdown cha nyimbo 20 bora kupitia Choice FM ya Dar es Salaam.
Kipindi hicho huruka kuanzia saa tisa alasiri hadi saa 11 jioni. Choice FM husikika Dar es Salaam pekee kupitia 102.5 na kwenye internet.