Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Baba levo aikataa album ya Harmonize, mbaya

@officialbabalevo ameikataa nyumba anayoishi @dotto_magari na kusema ni aibu kubwa sana. Pia @officialbabalevo ameongeza @dotto_magari hana Gold na atamhamisha anapoishi sasa hivi.@officialbabalevo amesema kuwa album ya @harmonize_tz sio kali na yeye hajaikubali.

Ameongeza kuwa album yake imebebwa na nyimbo ambazo alishawahi kuzitoa kipindi cha nyuma. Pia @officialbabalevo ameongeza kama ataona msanii wake anafaa kufanya collabo na @harmonize_tz atailipia na kufanya nae.@officialbabalevo amemtakia @officialalikiba heri ya siku yake ya kuzaliwa na kusema amekuwa King kwa muda mrefu.

Pia ameongeza kuwa yeye huwa haalikwi na @officialalikiba bali hijiendega tu na pia suala la kutompost kasema hata @officialalikiba hakumpost yeye.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents