Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabariMahojiano

Baba levo: Diamond anawafanya wasanii kuwa matajiri na ndio mana wanalipa milioni 800

Baba levo aeleza sababu ya wasanii kumkimbia Diamond WCB, Ataja namna Majani alivyowatesa wasanii zamani “alikuwa anawafukuzisha na Mbwa kwake.”

Mtamgazaji wa Wasafi Fm @officialbabalevo ndio alikuwa sababu ya @sallam_sk kumrushia maneno P Funk Majani.

Leo @el_mando_tz amezingumza na @officialbabalevo ili kujua ni kwa namna gani maneno aliyoongea @majani187 yana ukweli ndani yake maana yeye ni mtu wa karibu ya @diamondplatnumz

Mbali na hilo @officialbabalevo ameeleza sababu ya wasanii kuendelea kumkimbia @diamondplatnumz WCB

@officialbabalevo amefafanua namna @diamondplatnumz anavyowatengeneza wasanii kuwa Matajiri hadi kufikia kulipa milioni 800 kutoka kwenye umasikini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents