Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Baba levo: Manara aachane na yule mwanamke na aache kutuma voicenote

Akiongea na @el_mando_tz kwenye kipindi cha Recap na Mando Baba levo ameeleza kuwa wao kama watu wa karibu na Manara wamemshauri aache kutuma voicenote.

Baba levo ameongeza kuwa wamemshauri Manara ajilie maraha Zanzibar na aachane na huyo mwanamke mara moja.

Haya yanatokea baada ya Manara kuamua kuachana na aliyekuwa mke wake wa pili kutokana na sababu ambazo hazikuwekwa wazi na pande zote mbili.

Mbali ya Manara kuzungumza kwenye baadhi ya media lakini mwanamke huyo hajaongea chochote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents