Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Baba levo: Diamond amechukia alichofanya Marioo, collabo yao sijui kama itatoka

Kupitia kwenye kipindi cha Recap na Mando @el_mando_tz amezungumza na Baba levo kuhusu sakata la Marioo na Diamond ambapo Marioo alisema kuwa Diamond aliteleza kuongea.

Baba levo amesema kuwa Diamond amechukizwa na kauli ile ya Marioo na inaonyesha Marioo amemuambia Diamond muongo wakati ilikuwa kweli alichoongea.

Baba Levo anasema kuwa kwa kile alichosema Marioo kwa upande wake hadhani kama Collabo ya Marioo na Diamond ambayo tayari ilisharekodiwa kama itatoka.

Tayari kipindi cha Recap na Mando kipo YouTube ya Bongofive.

Written by @el_mando_tz shoot and edited by @sameeer2_

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents