Burudani
Babalevo alamba Shavu jipya
Kampuni ya vifaa vya ujenzi ya @magic_builders_international imekuja na toleo jipya kabisa la Gypsum Board zinazofahamika kama ‘Magic Gypsum Board’.
@officialbabalevo ni miongoni mwa mabalozi wa kampuni hiyo ambaye ameshiriki kwenye uzinduzi wa bidhaa hiyo mpya akiwa na mabalozi wengine kama mchekeshaji @ndaro__ na mwanamuziki @h.baba_ #Tinnah
Msikilize Baba Levo anaitolea maelezo bidhaa mpya
Imeandikwa na Mbanga B.