Promosheni ya Infinix PAA NA MANOTI yazidi kupamba moto ambapo kwa simu yoyote utakayonunua hautaondoka mikono mitupu zawadi zinaendelea kutolewa ikiwemo punguzo kubwa la bei kwa simu za NOTE 40 na NOTE 40 Pro, usafiri wa ndege kwenda na kurudi kwa safari za ndani na nje ya Nchi bure, Pesa taslimu Shilingi 2,000,000, Laptop pamoja na zawadi nyingine nyingi ambazo wateja wa wanaendelea kujipatia katika promosheni hii.
Promosheni hii inajumuisha matoleo yote ya simu za Infinix ‘NOTE 40 Series, NOTE 30 Series, HOT 40 Series, ZERO 30 na Smart 8 Series. Usikubali kupitwa na Ofa hizi tembelea duka lolote la Simu katika Mkoa uliopo kwa Taarifa za haraka zaidi tembelea page ya Instagram @infinixmobiletz.
Imeandikwa na Mbanga B.