Burudani

RECAP: Harmonize ni bora kwa sasa, awe makini Diamond atamtoa kwenye reli bila kujua (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia yanayoendelea mitandao kati ya Harmonize na Diamond.

@el_mando_tz anasema kwa upande wake angemshauri Harmonize ajishughulishe na muziki aachane na mabishano mitandaoni kwa hayamnufaishia.

Anaongea kwa kusema kwa sasa Harmonize ni miongoni mwa wasanii bora Tanzania lakini mabishano ya mitandaoni inawezekana ukawa mkakati wa kumtoa kwenye njia ya muziki bila yeye kujua.

@el_mando_tz anasema Harmonize awe makini sana kwani kwenye safari ya muziki yeye ndio ana safari ndefu zaidi. Ana mengi ya kufanya kumfikia Diamond kimuziki.

Unakubaliana na @el_mando_yz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

Host: @el_mando_tz Cameraman @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents