Michezo

Barcelona ya shinda kombe la Mfalme

Klabu ya FC Barcelona imetwaa kombe la Mfalme Hispania, maarufu kama Copa del Rey, usiku wa May 22 2016 walifanikiwa kutwaa taji la pili baada ya kufanikiwa kuifunga Sevilla katika mchezo wa fainali ya Kombe hilo.

article-3603830-348203A000000578-270_636x382

Wachezaji Jordi Abba na Neymar ndio walio iwezesha Barcelona kutwaa taji hilo katika Fainali iliyopigwa Jijini Madrid kwenye Uwanja wa Atletico Madrid wa Estadio Vicente Calderon.

3481F78800000578-3603830-image-a-7_1463956744106

Hii ni Fainali ya 37 ya kombe la kwa Barcelona huku Barca wakishinda mara ya 28 sasa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents