Burudani

Barnaba anunua Guitar jipya jijini London

Baada ya Barnaba kuibiwa guiter lake nje kidogo ya office za THT, Barnaba sasa amenunua guiter jipya jijini London, Uingereza ambapo yupo huko akifanya shows.

“Nashukuru sana kwasababu nimefanikiwa kununua guiter jipya baada ya kuibiwa langu na mtu ambae nahisi alikua ananifUatilia kwa mUda mrefu, ila nashUkuru sana nimenunua lingine kwa paundi za Uingereza 350 ambayo ni kama milioni mbili,”amesema Barnaba.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents