Mahojiano

Ben Pol: Rafiki zangu Depay, Salt bae, Sean Paul na Snoop Dog sio lazima niwatumie, hawa wakutunza (+ Video)

Msanii wa muziki wa bongo Fleva @iambenpol amefunguka kuhusu mke wake @anerlisa kuingia kwenye movie, mbali na kwenye movie pia ameahidi ataonekana kwenye sehemu tofauti tofauti ikiwemo muziki kwani anafanya hivyo kumsapoti mume wake na sio vinginevyo.

Ben Pol pia ameeleza kuhusu ukaribu wake na wasanii wa Marekani pamoja na aliyekuwa mchezaji wa Manchester United @memphisdepay kuhusu mahuasa mazima ya muziki.

Ameoneza kuwa huenda watu wanahisi anachezea nafsi kwani mpaka hivi sasa hakuna kinachoendelea na hao wasanii wa Marekani pamoja na Depay ” Sio kila mtu wa kumtumia kutunza watu ni jambo zuri sana utakapoenda kwa lengo la kumtumia ndio mwanzo wa kuanza kuwapoteza watu hao ambao ni muhimu zaidi kwenye maisha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents