HabariTechnology
Bluu tiki Instagram itauzwa kwa Tsh 32,666 kwa watumiaji wa Iphone

Watumiaji wa nstagram na Facebook sasa wataweza kulipia tiki ya bluu, kampuni mama ya Meta imetangaza.
Meta Iliyothibitishwa itagharimu $ 11.99 (£ 9.96) zaidi ya Tsh 27996.65 kwa mwezi kwenye wavuti, mpaka $ 14.99 sawa na Tsh 32666.65 kwa watumiaji wa Iphone.
Mkurugenzi wa Meta Mark Zuckerberg ametangaza na kusema kuwa wiki hii wataanzia Australia na New Zealand.
Mark Zuckerberg, afisa mkuu mtendaji wa Meta, alisema hatua hiyo itaimarisha usalama na uhalisia kwenye programu za mitandao ya kijamii.
Written by @el_mando_tz