BurudaniHabari

Burna boy na Asake hawana vigezo vya kushinda tuzo ya MTVEMA 2023, inakuja Tanzania

Kupitia kwenye kipindi chake pendwa cha RECAP & MANDO @el_mando_tz leo amechambua wasanii watano waliowekwa kwenye kipengele cha Best African Act ambacho kinagombewa na wasanii watano kutoka Afrika.

Katika kipengele hico amechambua msanii mmoja mmoja na namna nyimbo zao zilivyofanya vizuri na kusema kuwa awamu hii wasanii kutoka Nigeria ambao ni Asake na Burna Boy hawana kabisa vigezo vya kushinda tuzo hiyo ya MTVEMA kwa mwaka 2023.

@el_mando_tz ametoa moni yake hayo na kutoa vigezo vyake vya kusapoto mapendekezo yake, wewe unaungana naye au un apingana naye?? toa sababu.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents