Muziki
MUSIC AUDIO: Robby John Ft. Walter Chilambo – Tumekombolewa
Msanii wa muziki wa Injili Tanzania, Robby John (@Robby_john1) ameachia audio ya wimbo wake mpya wa ‘TUMEKOMBOLEWA’ na anakualika Mtumishi wa Mungu usikilize kwa kubofya link hapa chini.
Kwenye wimbo huo amemshirikisha Walter Chilambo na ndiye Producer wa wimbo huo, Enjoy.