Muziki

MUSIC AUDIO: Zuri Music – RAHA

MUSIC AUDIO: Zuri Music - RAHA

Zuri Music ni Moja kati ya wasanii chipukizi wa Muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi kwenye tasnia hiyo, Na habari nzuri ni kuwa amefungua mwaka 2024 kwa kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘RAHA’.

Unaweza kuisikiliza ngoma hiyo kwa kubofya link hapa chini, Pia usisahau kuacha ‘comment’ yako.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents