HabariMichezo

CEO wa Azam FC aenda kujifunza Man United

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC abdulkarim.amin ametua Makao Makuu ya Manchester United kwa ziara maalum ya kujiufunza.

 

CEO Abdulkarim.amin ametinga kwa miamba hiyo ya England akiwa amevalia uzi mpya wa Azam FC.

Mbali na kufanya ziara ndani ya viungo vya Old Trafford kwa wababe hao wa Jiji la Manchester pia atatembelea kwa mabingwa wa EPL na UEFA Manchester City na Spurs lengo likiwa ni kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo soka kutoka miamba hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents