Michezo

Chelsea na Spurs zamgombania Jobe

Kiungo wa Klabu ya ASunderland, Jobe Samuel Patrick Bellingham yupo kwenye kinyang’anyiro cha vilabu kadhaa Ulaya ikiwemo Chelsea na Tottenham Hotspur ambazo zinamtupia macho kwa ajili ya kuipata saini yake.

Vilabu vya Italia, Juventus, Inter Milan na AC Milan pia vimeripotiwa kuwa kwenye mbio za kuinasa saini ya kinda huyo mwenye umri wa miaka 18.

Jobe ni raia wa Uingereza ambaye ndugu yake ni nyota wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Uingereza Jude Bellingham amekuwa na kiwango bora sana msimu huu tangu ajiunge na Real Madrid.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents