Burudani

Sababu iliyopelekea Nick Minaj kula adhabu

Mamlaka za kisheria zimewataka Rapa Nick Minaj na Mumewe Kenneth Petty kumlipa $50000 (zaidi ya Bilioni 1.3 Tsh) moja ya walinzi waliowashitaki kwa kuwashambulia mwaka 2019,Weiden Muller kama fidia ya udhalilishaji.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ Nick Minaj na mumewe walifanya kosa hilo nchini Ujerumani mwaka 2019 na sasa wanalazimika kulipa mabilioni hayo ya fedha.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents