Burudani

Ciara na Future waachana, miezi mitatu baada ya kupata mtoto

Ciara na rapper Future wameachana.

ciara14f-2-web

Muimbaji huyo mwenye miaka 28 ambaye alikuwa amevishwa pete ya uchumba na Future, amevunja uchumba huo baada ya kugundua kuwa rapper huyo alimsaliti au kwa lugha ya sasa, alichepuka. Wawili hao walipata mtoto wao wa kiume, Future Zahir Wilburn mwezi May.

Future alimchumbia Ciara October 2013 na wamekuwa pamoja kwa mwaka mmoja sasa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents