Mahojiano

Climax: Ukitaja rappers Bongo hawafiki 10, Wanahaki ya kujitapa kuwa wao noma (+Video)

Msanii wa muziki wa Hip hop kutoka katika industry ya Bongo Fleva, Climax Bibo amesema kuwa wasanii wengi wanaofanya muziki wa Hip hop wanajitapa sana kuwa wao wanajua zaidi.

Climax amesema kuwa wasanii hao wana haki ya kujitapa kwa sababu rappers kwa sasa Tanzania hawafiki hata 10 kwahiyo wana haki ya kujitapa na kujinadi kuwa wao wanajua.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents