Habari
Dawasco yatoa taarifa operesheni maalum ya kusitisha huduma ya maji
Shirika la MajiSafi na Majitaka Dar es salaam(DAWASCO),imetoa taarifa kuhusu usitishwaji wa huduma ya maji safi kwa wateja wa Dar es salaam, Kibaha na Bagamoyo wenye malimbikizo ya madeni.
Soma taarifa kamili: