BurudaniHabari

Diamond amjibu El Mando kuhusu show yake ya Marekani

Kupitia kipindi cha RECAP & MANDO baada ya @el_mando_tz kuzungumzia show ya @diamondplatnumz nchini Marekani na kueleza kuwa kulikiwa na maeneo ya kuboresha.

@diamondplatnumz ameweka Comment yake na kueleza baadhi ya Changamoto alizopita nchini Marekani kwenye show hiyo.

Mbali na hilo @diamondplatnumz ametoa ushauri kwa @el_mando_tz na Bongo5 kuwa wawe wanahudhuria Matamasha/Matukio makubwa ya kiburudani yanayotokea sehemu mbalimbali duniani.

Maoni yako ni yapi kuhusu ushauri wa @diamondplatnumz kwa @el_mando_tz ??

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents