Diamond apewa jezi na timu hii kubwa ya ligi ya NFL ya Marekani

Staa wa Bongo Fleva @diamondplatnumz usiku qa kuamkia leo amekabidhiwa jezi na timu inayoahiriki moja ya ligi pendwa nchini Marekani ya NFL ambayo ni timu ya @washingtonnfl Ya (American Football) 🏈

Jezi Hiyo imeandikwa jina lake “PLATNUMZ” Pamoja na Namba 99.

Kupitia Ukurasa Wao Wa Instagram #Washingtonnfl Wamethibitisha Hilo Kwa Ku post picha ya @diamondplatnumz akiwa amevalia jezi hiyo wakifuayia maneno yanayosomeka/-

@diamondplatnumz repping the Burgundy & Gold 🔥” – Washington NFL. Ikumbukwe kuwa Washingtonnfl Inashikilia Nafasi Ya Pili (2) Kwenye Ligi Ya Mpira Wa Marekani ya NFL 🏈.

Related Articles

Back to top button