BurudaniMuziki

Dj D-Ommy aachia The Valentine Heartfelt Mixx Vol 3, isikilize hapa

DJ wa Clouds FM, D-Ommy ameachia The Valentine Heartfelt Mixx Vol 3.

VALENTINE

“Kama utakumbuka mwaka jana ilitoka “THE VALENTINE HEART FELT MIXX Vol.2″ sasa huu ni muendelezo wa ya mwaka jana yaani Vol.3. Ni mixing ya nyimbo kali za mapenzi kutoka katika kila pembe ya dunia. Na hii ni mahususi kwa ajili ya siku ya wapendanao yanii Valentine’s Day,” amesema Ommy.

“Ukiwa Home, njiani unarudi au unaenda kwenye mihangaiko, chuo-Hostel, peke yako au na Baby Number One wako au na washkaji tu fanya kudownload na kuskiza Mixx hii.vNakuahidi hautajutia hasa katika weekend hii ya Malavidavi,” ameongeza.

Isikilize hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents