Habari

Dkt. Jakaya Kikwete kumwakilisha Rais Magufuli nchini Zimbabwe

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete atamwakilisha Rais Magufuli nchini Zimbabwe kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Taifa hilo, Emmerson Mnangagwa.

Rais Magufuli (kushoto) akiwa na Dkt. Jakaya Kikwete

Sherehe hizo zitakazofanyika kesho Jumapili Agosti 26, 2018 zinatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi wakubwa barani Afrika Afrika wakiwemo Marais wa nchi mbalimbali.

Related Articles

4 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents