Habari

Donald Trump anusurika kifo huko Las Vegas

Mwanamume mmoja raia wa Uingereza anayetuhumiwa kwa kupora bunduki ya afisa mmoja wa polisi katika mkutano wa kisaiasa wa Donald Trump, amewaambia wapelelezi wa Marekani kuwa, alitaka kumuua kwa kumpiga risasi na kumuuwa mgombea huyo wa kiti cha Urais wa chama cha Republican.

357144C600000578-3651241-image-a-2_1466459382293

Kwa mjibu wa stakabadhi za mahakama, Michael Sandford mwenye miaka 20 anasema kuwa aliendesha gari hadi Las Vegas akiwa na nia ya kumpiga risasi Bw Trump siku ya Jumamosi.Awali Donald Trump alimtimua Maneja wake wa kampeni Corey Lewandowski kwa kutofautana naye katika kauli zake.

35700FFC00000578-3651241-image-a-1_1466465179877

Makamu wa Rais wa Marekani Joe Biden amemlaum Trump kwamba kauli zake ni za hatari

Source: BBC

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents