Burudani
EBSS: Linias Mhaya ayaaga mashindano
Jumapili ya tarehe 15, October 2012 mshiriki mmoja wa EBSS, Linias Mhaya
aliyaaga mashindano na hivyo kubaki washiriki tisa tu.
Washiriki tisa waliobakia wamegawanywa katika makundi matatu na kila Jaji kapewa washiriki
watatu watakaokuwa chini ya usimamizi wake, majaji wanatakiwa kuwapa
maelekezo kuhusu kuimba na kuwachagulia nyimbo za kuimba.