Habari

Elikem: She was a bit noisy, but I kinda miss Feza (Video)

Mghana Elikem anadai licha ya kwamba Feza Kessy alikuwa na kelele nyingi ndani ya BBA house, tangu aondoke amehisi kuna kitu kimepungua na sasa amemmiss.

1370608205m_and_feza

Tazama video hiyo hapa.

Hata hivyo kauli hiyo imetafsiriwa na watu wengi kuwa anatafuta huruma na kura ya Afrika Mashariki.

“Liar; he thinks he will earn EA votes! FORGET. EA FOR ANGELO. Like she said he is such a baby. Bimp is good but Ethiopia did not support any East African at any particular juncture,” ameandika Naimah George wa Nairobi.

Naye Daisy Daniel ameandika: You a big liar Elikem u hate feza! East Africa we are not a stupid people.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents