Habari

Fahamu jiji lenye mabilionea wengi zaidi duniani

New York City ndiyo Jiji linaloongoza kuwa na mamilionea wengi zaidi duniani.

Takribani mamilionea milioni moja wanaishi kwenye jiji hilo kwa mujibu wa ripoti mpya.

Ili kuwa angalau ndani ya asilimia moja ya mabilionea wanaoishi NYC utahitajika kuwa na dola za kimarekani milioni 1.55

Licha ya kupungua kidogo kwa idadi ya mamilionea wa New York mnamo 2018, bado jiji hilo limesalia kuwa kinara kwa majiji mengine yanayokaliwa na mamilionea likifatiwa na Tokyo huku nafasi ya tatu likiwa jiji la Los Angeles.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents