Burudani

G nako atoa sababu ya kuvujisha wimbo wa Weusi bila makubaliano

Bongo5 imefanya mazungumzo na msanii wa Bongofleva @gnakowarara kufutia vuguvugu lilokuwa likiendelea kwenye mitandao ya kajamii baina yake na wenzake wa kwenye kundi la Weusi ambapo katika hilo Gnako amsema

“Mara nyingi huwa tupogi pamoja muda mwingine huwa tunakwazana kama binadamu tulikuwa tuachie nyimbo toka disemba mwaka jana ikachelewa baada ya kuongea sana nikaona kuna umuhimu wa kuwahalati watu baada ya kuona wapo kimya wanajivuta mimi ikabidi ni achie wimbo”

Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5

Written and edited by @abbrah255 and @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents